Shikwambi
SW

Shikwambi 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수4
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Eti umedataa Amekuka mataa Nyani kwenye mitego umenasa eeh Ye ni chuma we sumaku kakuvutaa eeh Unapiga bapa ya Savana Club mabatani mwaongozana Kumbe shikwambi wadanganywa Unafuga wenzako wala nyama Viatu vyako umeshona Ye unamwonga vingi vingine havai Unamwonga ananona Na bado anawengi kwa hiyo usijidai Viatu umeshona Ye unamwonga vingi vingine havai Unamwonga ananona Na bado anawengi kwa hiyo usijidai Shikwambi (shikwambi) Uyo Shikwambi eeh Ale Shikwambi Uyo Shikwambi eeh Ana sura nyingi za majonzi za furaha Asikutekee eeh Na Ana plan nyingi za kukuteka utoe chapaa Na ni mapepee Una tuma vocha kwa mikogo Kumbe Ana chat na Chogo Wenzako wana kula nzima we robo Pungoza michecho na shobo Viatu vyako umeshona Ye unamwonga vingi vingine havai Unamwonga ananona Na bado anawengi kwa hiyo usijidai Viatu umeshona Ye unamwonga vingi vingine havai Unamwonga ananona Na bado anawengi kwa hiyo usijidai Shikwambi (shikwambi) Uyo Shikwambi eeh Ale Shikwambi Uyo Shikwambi eeh Kuna wengine kawateka Asikuteke nawe Kua makini usidanganywe Akiwa yuko nawe Maanra muongo ooh Maana muongo Shikwambi Ana longo longo ooh Longo longo Shikwambi Viatu umeshona aah Unamwonga ananona Shikwambi Uyo Shikwambi eeh Ale Shikwambi Uyo Shikwambi eeh Yeah shikwambi Raymond baby Uyo Shikwambi eeh

Rayvanny의 다른 곡

Rayvanny →

관련 가사