Unaibiwa
SW

Unaibiwa 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수17
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Ayolizer Usidate na njonjo za mapenzi Vicheko bandia usoni kudeka kumbe Ana pretend Maufundi toka Tanga na Zenji Vionjo mitego unase ashike pochi umwage chenji Anakuchanganya kiunoni shanga Marashi kama uko peponi Mtoto sauti kinanda Ya kumtoa chatu pangoni Ukishatafuna karanga Hutaki hata aende sokoni Anakuchuna mafaranga Unabaki na vumbi mfukoni Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi Baby me I like that Nakukupamba kwenye simu Video Snapchat Kumbe hana maana hadi mangi Anamwita sweetheart Kisa anakesha gym Kutafuta six packs Unaibiwa Unaibiwa Unaibiwa Unaibiwa Kuna kina Rose Visosa Wale wapenda Verosa Ukipita na shati na moka Lazima watashoboka Wakiomba lift, ogopa Miguu dashboard vishoka Mchunguze cheni, goroka Nywele na pochi kakopa, eh Usije kuyavamia yasije yakakutesa Hawachelewagi kukimbia Kuna wenzako wanalia Walizani mapenzi pesa Kwenye suruali vibamia Hata ukimuonga Ferrari Hatokuona rijali Wakati chumbani we beki Ukifunga moja tu chali Atakamatwa na mangangali vijana machachali Hawachagui sehemu ya vita uvunguni na juu ya dali Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi Baby me I like that Nakukupamba kwenye simu Video Snapchat Kumbe hana maana hadi mangi Anamwita sweetheart Kisa anakesha gym Kutafuta six packs Unaibiwa Unaibiwa Unaibiwa Unaibiwa Unadhani niwapekeako Kumbe wengine wameshaweka kambi Kakupendea macho Wapo wengine kawapendea rangi Ye ni gari la dampo Hachagui taka dereva mpe ganji Wakubadili sample Akila mihogo karoti hazipandi Unaibiwa Unaibiwa Unaibiwa Unaibiwa

Rayvanny의 다른 곡

Rayvanny →

관련 가사