Rhumba
SW

Rhumba 가사

장르World Music
원문 언어SW
조회수10
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
My love, I want you My love, I need you Every timw I see you (Inadi club) Every time I see you (You light it up!) Hey, hey, hey Naomba nafasi mi nicheze na we Njoo karibu, usinicheki toka mbali Hatujuani, but tonight you could be my bae Songa nami, hii form imekubali Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako Ana kwa Ana Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako Ana kwa Ana Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena Hey, hey, hey Napenda unavyong'aa kama taa Hapa we ndio star You've got me feeling things that I can't explain Tu vitu, Ma vitu I think I'm falling for you just a little Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako Ana kwa Ana Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako Ana kwa Ana Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena Vunja mifupa, kaza mshipi na tuzikwende Tukizunguka, kaende, kaende Teremka, kata kiuno jionyeshe Inuka, Inuka Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena

관련 가사