Kiuno
SW

Kiuno 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수3
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Namkisikia nimeumwa nimelazwa nimekonda nime dead Yale mapenzi Namkisikia ameumwa amelazwa amekonda amedead Yale mapenzi Namsiulize kwangu amefuata nini Ni nyama kwa nyama maini Nimezama kina mpaka chini Na navyodeka sijui ntamwacha lini Na pengine Ye ndo anafanya niwe loyal Mahaba yake yananichanganya Staki mwingine Yeye ashanitouch kwenye moyo Midomo yake akinikiss mwa Si anapendaga kiuno kanipa mama Kanipa mama kanipa mama Na mi napenda shoo kampa baba Kampa baba kampa baba Anachopendaga kanipa mama Kanipa mama kanipa mama Ninachopendaga kampa baba (baba oh) Kampa baba (baba oh) kampa baba (baba oh) Kinachofuata mchana tunakiwasha Usiku tunazima ta Yaani ta ta ta Na mimi hapa Nampa anachokitaka Sindimba chakacha Yaani ta ta ta Alooo, my baby mwenzako nyang'a nyang'a You know we ndo my sweety banana nana Baisho I love you baby ooh na, na, na I am in love unanicontrol Na pengine Ye ndo anafanya niwe loyal Mahaba yake yananichanganya Staki mwingine Yeye ashanitouch kwenye moyo Midomo yake akinikiss mwa Si anapendaga kiuno kanipa mama Kanipa mama kanipa mama Na mi napenda shoo kampa baba Kampa baba kampa baba Anachopendaga kanipa mama Kanipa mama kanipa mama Ninachopendaga kampa baba (baba oh) Kampa baba (baba oh) kampa baba (baba oh)

Yammi의 다른 곡

Yammi →

관련 가사