Boyfriend wa Dar es Salaam
SW

Boyfriend wa Dar es Salaam lyrics

GenrePop
Original languageSW
Views8
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Ooh, sweet music Sio wangu mimi bali wa Dar es Salaama (Salaama) Kila binti mjini yeye anapita nae (naae) Yani kila kona kama atembea uchi Nilidhani wangu kumbe wa Dar es Salaama nzima Nawaambia kwani nmekutana nae eeeh Kwa ahadi nyingi muda nikamuazima Anapenda wengi uyo penzi langu kalizima Si wakumlilia et anatia aibu uyooo jamani Tena kuna na mshkaji wangu wa mbezi Alimkuta na shangazi wanajidunga Johnny Walker na beer Sio wangu mimi bali wa Dar es Salaama Kila binti mjini yeye anapita nae (kila moja) Yani kila kona kama atembea uchi Nilidhani wangu kumbe wa Dar es Salaama nzima Bibie suma atoke sijui nani apande Huyu nae aende, ili mwingine aje Namkumbuka ananda aliokoka Changanyikiwa akawa kama mateka Baby wa Dar es Salama ooh, ooh! Sio wangu mimi bali wa Dar es Salaama Kila binti mjini yeye anapita nae Yani kila kona kama atembea uchi Nilidhani wangu kumbe wa Dar es Salaama nzima Hata yule shani alikutana nae Pete kamvisha na kumdunga mimba Muda si mrefu yu karibu kujifungua Kapata habari bwana yule anaoa kwingine Namkumbuka khadija kawa chapombe Changanyikiwa akawa mateka Baby wa Dar es Salama ooh Sio wangu mimi bali wa Dar es Salaama Kila binti mjini yeye amenpa mimba Pita kila kona watoto humuita baba Nilidhani wangu kumbe wa Dar es Salaama nzima

More from Lady Jaydee

Lady Jaydee →

Related lyrics