Duasi (feat. Vanessa Mdee)
SW

Duasi (feat. Vanessa Mdee) lyrics

GenrePop
Original languageSW
Views9
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Vee Money Legendury Beatz Figisu ndiyo kitu mi sinaga Nje mpaka ndani na mkonga na swagger Wananiuliza kitu gani nampaga Real love ndiyo nampaga mie Oh Lord simuachi muachi muachi Wanga hawana nafasi fasi fasi Wameanza kukachi kachi kachi Nipo naye fasi ya duasi duasi duasi Maisha zawadi fura Maisha zawadi kwa Jah Kikubwa kumudu kara Visa visasi balaa Maisha zawadi furahaaa Maisha zawadi kwa Jaaah Kikubwa Kimudu karaha Visa visasi balaa Together we be champion, champion, champion Champion, champion, champion, champ Together we be champion, champion, champion Champion, champion, champion, champ Cos together we be Eh, eh, eh, eh, eh, eh Champion Baby you and me Eh, eh, eh, eh, eh, eh Kama kama nisinge kuwa macho Singeweza linda kile nilicho nacho Drama, drama Nishatemana nazo, baby Hatuna tena mazo Kama kama nisinge kuwa macho Nisingeweza linda kile nilicho nacho Drama, drama Nishatemana nazo, baby Hatuna tena mazo Oh Lord simuachi muachi muachi Wanga hawana nafasi fasi fasi Wameanza kukachi kachi kachi Nipo naye fasi ya duasi duasi duasi Maisha zawadi fura Maisha zawadi kwa Jah Kikubwa kumudu kara Visa visasi balaa Maisha zawadi furahaaa Maisha zawadi kwa Jaaah Kikubwa Kimudu karaha Visa visasi balaa Together we be champion, champion, champion Champion, champion, champion, champ Together we be champion, champion, champion Champion, champion, champion, champ Cos together we be Eh, eh, eh, eh, eh, eh Champion Baby you and me Eh, eh, eh, eh, eh, eh

Related lyrics