Lawama
SW

Lawama lyrics

GenrePop
Original languageSW
Views7
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Penzi unalionea Waizunguka njia Ukuta nilioegemea Leo wanichafua Hata ujiteteaje Story zako mi napewa Waona unanionaje Kunivuruga kila mara Kwani sisi tupo wangapi Ama mimi mshika shati Na chakula hakiliki baba we Kila siku kesi kesi Kwani sisi tupo wangapi Ama mimi mshika shati Na chakula hakiliki baba we Kila siku kesi kesi Nimechoka mwenzio (lawama) Oh, oh (lawama) Sina swaga yeyote (lawama) na wewe (lawama) Ujuzi wangu wa zamani (ni noma, ni noma) Kila ninachofanya hakuna (ni noma, ni noma) Aiyaa aiyaaa Ona moyo unalipuka Maana uishi kunizuga zuga Tena umegeuka yuda Sikomi kunisulama Nia yako niumie Tezo naiweka embe Maruhani nisaidie Panda palipo na pete Kwani sisi tupo wangapi Ama mimi mshika shati Na chakula hakiliki baba we Kila siku kesi kesi Kwani sisi tupo wangapi Ama mimi mshika shati Na chakula hakiliki baba we Kila siku kesi kesi Nimechoka mwenzio (lawama) Oh, oh (lawama) Nimechoka na wewe (lawama) Mapenzi yangu ya zamani (ni noma, ni noma) Kila ninachofanya hakuna (ni noma, ni noma)

More from Malkia Karen

Malkia Karen →

Related lyrics