Pombe Sigara
SW

Pombe Sigara lyrics

GenreAfrobeats
Original languageSW
Views4
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Oh-ooh, pombe sigara Naweza wacha bila kung'ang'Ana Lakini, hawa wasichana Vile nawapenda ni kama laana Ooh, Sol Generation I'm tha storyteller, aye, aye, aye Ooh lawd Naskia walevi huota na bia Lakini kuna siri nitawaibia leo See am not addicted to alcohol Am not a victim, not at all Yalimpata Samson, yakampata Solomon Situation hugeuka tricky Kila shimo napanda miti Contribution kwa team mafisi, Karura Eey, situation hugeuka tricky, kwa hivyoo Msiniweke kamba kwa shingo Pombe sigara Naweza wacha bila kung'ang'Ana Lakini, hawa wasichana Vile nawapenda ni kama laana Someone please call 911 Tell them the storyteller has gone down Ati alivunja shingo akalemewa Akatoa fimbo nje ya ndoa Na hivyo ndivyo alijichomea Eeey situation imekuwa tricky Kuona shimo alipanda miti Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela Eeey situation hugeuka tricky, kwa hivyoo Msiniweke kamba kwa shingo Pombe sigara Naweza wacha bila kung'ang'Ana, ah Lakini, hawa wasichana Vile nawapenda ni kama laana, ah ooh, yeah, yeah Pombe sigara Naweza wacha bila kung'ang'Ana, ah Lakini, hawa wasichana Vile nawapenda ni kama laana, ah ooh, yeah, yeah

More from Nviiri The Storyteller

Nviiri The Storyteller →

Related lyrics