Muhogo
SW

Muhogo lyrics

GenrePop
Original languageSW
Views4
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
S2kizy, baby Asubuhi na muhogo Mchana kutwa na muhogo Usiku pia na muhogo Ki kweli ninapenda penda Muhogo, muhogo Muhogo, muhogo Muhogo, muhogo Muhogo, muhogo Mizuri kwa kutafuna, ukipata mibichi mibichi Aswa iliyotuna sio vinjiti vinjiti Nakula kwa kujikuna utamu fitcaly kit Hogo la Mwanza la kisukuma kwa bed kwenye kiti Ya koko ama upate mwogo wa jangombe Kimoko kisha nashushaga na monde Ninatumia, nawatumia yan sana sana Nywele India na Peluvian yan kama kama (Aristote) Vitu kww wingi (wingi wingi) Laini huku umezaa Upate mbilimbi (limbi, limbi) Na chumvi chombeza Nasikia uwoya na madamu wema wamegombana kisa (muhogo) Hoya hoya masimango na vijembe insta (muhogo) Asubuhi na muhogo Mchana kutwa na muhogo Usiku pia na muhogo Ki kweli ninapenda penda Muhogo, muhogo Muhogo, muhogo Muhogo, muhogo Muhogo, muhogo Sitaki unibanie, wala kunikataza kataza Napenda nishikilie chachandu kupakaza pakaza Nikila lazima nilie, sipendi kunyamaza nyamaza Muhogo kiboko ya mie, kizungu ni kasava kasava Gari gari, nyumba kali, mbele party sababu ya (muhogo) Waliyowadogo et nao wanajiita wanadanga Wanakula mihogo hawamiliki hata vitanda Futa kwa wingi (wingi wingi) Laini huku umezaa Upate mbilimbi (limbi, limbi) Na chumvi chombeza Nasikiaga Zari mdam hero waligombana kisa (muhogo) Hoyahoya masimango na vijembe insta (hogo) Asubuhi na muhogo Mchana kutwa na muhogo Usiku pia na muhogo Ki kweli ninapenda penda Muhogo, muhogo Muhogo, muhogo Muhogo, muhogo Muhogo, muhogo S2kizy

More from Queen Darleen

Queen Darleen →

Related lyrics