Moyo Wangu
SW

Moyo Wangu lyrics

Original languageSW
Views1K
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe yesu moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe yesu moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe yesu moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe yesu moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe bwana moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe yesu yeye akupenda, yeye akujali usifadhaike moyo, tulia kwa bwana dunia ni shida, dhiki nyingi kwako usilalamike moyo, tulia kwa bwana anaweza sasa, kuponya maisha yako kukufariji moyo, yesu yupo tena yeye ndiye jana, sasa na milele alfa na omega yesu, wewe moyo

Related lyrics