Nilinde
SW

Текст песни Nilinde

ЖанрPop
Язык оригиналаSW
Просмотры5
AaНастройки чтения
Размер текста 18

Оригинальный текст

SW
Перевод пока недоступен. Показан оригинальный текст.
Mmh mmh, ooh ooh Aiiehh eeh eeh (Gachi beats) Nawaza na sipati majibu Mbona haya ni majaribu Au Baba unanijaribu Maana mi sipati jawabu ila Labda langu ni dogo Kuna makubwa ya wengine Yaani kwa hiki kidogo Nisikufuru na mengine Mmh kuna muda mi nakataga tamaa Najiuliza lini nitasimama Mbona mimi ni wa kushika tama Mmh Si unajua maadui ni wengi Kuna muda mi nawazaga mengi Maana mambo yananoga Labda wananiroga Maana napiga zoga Hadi napata uoga Maana mambo yananoga Labda wananiroga Maana napiga zoga Hadi napata uoga Oooh Baba nilinde, Baba nilinde Niepushe nikinge, simama nilinde Basi Baba nilinde, Baba nilinde Niepushe nikinge, simama nilinde Mmh, mmh, mmh Ayee ayee ayeee Kuna muda nalia Nikifikiria naona hili ni dogo Maana kuna wasio na hatia Na wamepotea wangali wadogo Ila mimi napumua Na pumzi silipii sasa nitake nini? Ati nisipate matatizo milele Kwani mi ni nani? Si unajua maadui ni wengi Kuna muda mi nawazaga mengi Maana mambo yananoga Labda wananiroga Maana napiga zoga Hadi napata uoga Maana mambo yananoga Labda wananiroga Maana napiga zoga Hadi napata uoga Ooh Baba nilinde, Baba nilinde Niepushe nikinge, simama nilinde Basi Baba nilinde, Baba nilinde Niepushe nikinge, simama nilinde Baba nilinde, Baba nilinde Baba nilinde, Baba nilinde Baba nilinde, Baba nilinde Baba nilinde, Baba nilinde

Ещё от Kusah

Kusah →

Похожие тексты