Na Yule
SW

Текст песни Na Yule

ЖанрAfrobeats
Язык оригиналаSW
Просмотры15
AaНастройки чтения
Размер текста 18

Оригинальный текст

SW
Перевод пока недоступен. Показан оригинальный текст.
Mapenzi hayana mwenyewe Unaweza ukapenda kijana au mzee eeh Niite jina langu baby Huenda nafsi yangu itapoa aah Shika moyo wangu baby Unavyokwenda mbio wewe utapoa haaa! Kuna muda Namwomba mungu angekuleta mapema ooh Ila bado siyo mbaya Wewe ndo unayejua maumivu yangu hii baby Ila bado siyo mbaya Wewe ndo unaejua maumivu yangu Siipra unitoke machoni iih Tembea nami ndotoni eeh Nitakuweka moyoni iih Bila hofu rohoni hey yeah Moyo wangu tembea na yule, na yule Ndo nampendaga Macho yangu mtazame yule, mtazame yule Namwamini sana Ah Baby, sitaki kutazama nyuma tena Mmh, maumivu nilishayaona Wengi walinipotezea muda Hakuna nilichokipata aah haa Kuna muda Namwomba mungu angekuleta mapema Ila bado sio mbaya Wewe ndo unayejua maumivu yangu hii baby Ila bado siyo mbaya Wewe ndo unaejua maumivu yangu Siipra unitoke machoni iih Tembea nami ndotoni eeh Nitakuweka moyoni iih Bila hofu rohoni hey yeah Moyo wangu tembea na yule, na yule Ndo nampendaga Macho yangu mtazame yule, mtazame yule Namwamini sana Ooh siwezi ukabwe macho yangu Yatonaimi ndotoni hi Moyo wangu tembea na yule, na yule Ndo nampendaga Macho yangu mtazame yule, mtazame yule Namwamini sana

Ещё от Ruby Tanzania

Ruby Tanzania →

Похожие тексты