Utaniua
SW

Текст песни Utaniua

ЖанрPop
Язык оригиналаSW
Просмотры373
AaНастройки чтения
Размер текста 18

Оригинальный текст

SW
Перевод пока недоступен. Показан оригинальный текст.
Eti-lah-lah-lah, lalalala, lala, lalaah Lah-lah, lalalala, lala, lalaah Nna hamu mwenzenu nna hamu kuyahadithia Oh nna hamu tena nna hamu kuyasimulia Utani kama utani tulianza kimasiara Sikudhani sikudhani yatafikia mahala Akiwa hapatikani hapaliki sijalala Kanifanya kitu gani? Mbona imekua mara? Dua la kuku menipata mwewe wallah nyinyi ni mtihani Hata makosa ayafanye yeye mimi ndo naomba samahani Ona anacheka kama mazuri Anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli Eti kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuri Na kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufuli Oh, baby mimi hapa taabani (wewe utaniuwa niuwa) Nimeoza dah yarabi sihemii (wewe utaniuwa niuwa) Ah, izo raha zakoo (wewe utaniuwa niuwa) Roho yangu mali yako (wewe utaniuwa niuwa) Tukikosa stuli ni sunna kula kwenye mkeka Unijue vizuri nikinuna mie ndo nadeka Husijedhani kiburi uniache nikaja kuchekwa Baby raha ya shughuli mkunwa awe na heka heka Oh husichokipenda wewe chunga na mimi husinifanyie Mgomba wangu mwenyewe eti ndizi nigombanie Nipe penzi nilewe umenizimiaa Ooh ringa kwangu upo mwenyewe kiboko yangu miee, oh vimbaa Ona anacheka kama mazuri Si anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli Eti kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuri Na kwenye koma kaweka nukta kanitia na kufuriii Oh, baby mwenzako mimi twabani (wewe utaniuwa niuwa) Chagua mwenyewe unizike unishafirishe (wewe utaniuwa niuwa) Ah, izo raha zakoo (wewe utaniuwa niuwa) Roho yangu mali yako oh (wewe utaniuwa niuwa)

Ещё от Zuchu

Zuchu →

Похожие тексты