Happy Birthday
SW

Happy Birthday şarkı sözleri

TürPop
Orijinal dilSW
Görüntülenme1.8K
AaOkuma ayarları
Metin boyutu 18

Orijinal sözler

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Kwanza n'na furaha (n'na furaha) Nitaimba na kucheza (na kucheza) Washa mishumaa (mishumaa) Weka keki juu ya meza (juu ya meza) Oh, ila, usinicheke Nimekuletea zawadi kidogo n'lichobarikiwa (n'lichobarikiwa) Haki mwana mpweke Aje na dumu la maji, asije kakumwagia Ah-ah, na kapicha kako nitaka-post Was'okupenda itawa-cost Ah-ah, leo siku yako nishajikoki Tuko rafiki zako, tunasema Happy birthday Happy birthday to you Happy birthday to you Happy birthday (ah-ya-ya) to you Happy birthday to you Ah-ah, sinywagi pombe leo n'talewa (n'talewa) Niwape shombe wal'ochelewa (wal'ochelewa) Zikinipanda monde nitapepewa (nitapepewa) Ah-ah, pembe la ng'ombe au malewa Ila usi-forgeti (kusema) Asante baba na mama wal'okukuza ukakua Tunakupa na keki (kwa wema) Akulinde Baba Maulana, twakuombea na dua Ah-ah, na kapicha kako nitaka-post Wasiokupenda itawa-cost Ah-ah, leo siku yako nishajikoki Tuko rafiki zako tunasema Happy birthday Happy birthday to you Happy birthday to you Happy birthday (ah-ya-ya) to you Happy birthday to you Kata keki, kata (kata) Oh, kata (kata) Kata (kata) (Kata unilishe) keki ya jina lako (kata) Walishe na wenzako (kata) Tupo kwa ajili yako (kata) (Kata unilishe) Oh, basi kata (kata) Oh, kata (kata) Kata nikwone (kata) Kata (kata unilishe) (Kata) (Kata) (Kata) (Kata unilishe) Ah-ah, na kapicha kako nitaka-post

Harmonize sanatçısından daha fazla

Harmonize →

İlgili şarkı sözleri