Single
SW

Single şarkı sözleri

TürPop
Orijinal dilSW
Görüntülenme7
AaOkuma ayarları
Metin boyutu 18

Orijinal sözler

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Miaka ishirini na tatu sasa Lava nimekua si mtoto tena Nisha pitia mingi mikasa Na nimesha jua lipi baya na jema Wazazi wanauliza kutwa wanapanda juu Etikabla hawajakufa waone wajukuu Na mitandaoni kukikucha mashabiki buu Mbona unatuyeyusha VIP Shemeji Wen do kipenzi cha walimbwende tunaona Insta yako DM Imenoma Unapendwa wadada kila kona tunaona Haa wanashona chingwea musoma Wanakuja kwa wingi mbona Na mabusu unapigwa tunaona tunaona Mpaka unazimia VIP Nipo single, wanauliza VIP Nipo single, wanauliza VIP Nipo single, heee wanauliza VIP Nipo single, heee mbona nipo single Hum mashabiki wengine visilani Hawana dogo Wakikuandama jamani Kukuzodoa zodo ET muangalie Rayvanny Yake mikogo Analinga na mama Jaidani Hawataki shobo Eeh! Na wengine hunambia Jogoo hapandi mtungi Mbona wa kina rukia Na kina mbosso kirungi Achaga masihara Harmonize anajumwaga na Sarah huum Jitahidi tafadhari, upate yoyote Heee kaza usiwe fala Zichange hizo gwala gwala Mmilko hamiza na zari Kachubu Dangote We ndo kipenzi cha walimbwende tunaona Insta yako dm Imenoma Unapendwa wadada kila kona tunaona Ha! Wanashona chingwea musoma Wanakuja kwa wingi mbona Na mabusu unapigwa tunaona tunaona Mpaka unazimia vip Nipo single, wanauliza VIP Nipo single, wanauliza VIP Nipo single, hee wanauliza VIP Nipo single, hee mbona nipo single

Lava Lava sanatçısından daha fazla

Lava Lava →

İlgili şarkı sözleri