Hazipo
SW

Hazipo şarkı sözleri

TürPop
Orijinal dilSW
Görüntülenme9
AaOkuma ayarları
Metin boyutu 18

Orijinal sözler

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Uzuri wako mashallah Na macho yako ndo balaah Sauti yako noma sana Na mwendo wako ndo balaah Ni miujiza moto faya Uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya Nuksi huko nyumbani Me hazipo (hazipoo) Kwajili yako mwenzio Me hazipo baba (hazipoo) Akili me hazipo bwana (hazipoo) Kwajili yako mwenzio Me hazipo baba (hazipoo) Aah aah, eeh yeee, iye iyeye Sistimu nyingi kichwani akili zangu baba, ah aah Sijitamani, nifikirie sana aah Usinipe maruani me moyo utaama aah Na mashetani yanapenda kwa manaa aah Ni miujiza moto faya Uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya Nuksi huko nyumbani Me hazipo (hazipoo) Kwajili yako mwenzio Me hazipo baba (hazipoo) Akili me hazipo bwana (hazipoo) Kwajili yako mwenzio Me hazipo baba (hazipoo) Takuwa sina bahati Ukisema hautaki utauwa mapigo Penzi la supu baba Ukieka nazi hatari mzigo Jaribu kuwa smart Nipe mahabati tu japo kidogo Mie wazimu baba Kichwani mwangu mwenzio hazipo Mwenzio mie hazipo (hazipoo) Kwajili yako mwenzio Me hazipo baba (hazipoo) Akili me hazipo bwana (hazipoo) Kwajili yako mwenzio Me hazipo baba (hazipoo) Ooh yeeah Hazipo ooh yeea Hazipo ooh oh yeeA

Nandy sanatçısından daha fazla

Nandy →

İlgili şarkı sözleri