I Wish
SW

I Wish کے بول

صنفPop
اصل زبانSW
مناظر15
Aaپڑھنے کی ترتیبات
متن کا سائز 18

اصل بول

SW
ترجمہ ابھی دستیاب نہیں۔ اصل بول دکھائے جا رہے ہیں۔
Mmh ulalala Baby nitakupa moyo nitakupa roho Yaani mwili mzima Ningekupa gari ningekupa doh Ila mi ndo sina Ukinizidi sana nitakupa roho Unibebe mzima Ukitaka haba tutajaza ndoo Mi uvivu sina Natamani uwai shela baby uvae Upendeze na ulivyo chombo wakushangae Natamani tupewe mbawa baby tupae Tufike mbali baby wee, baby wee Haya go, baby ringa Ikija mvua baby mi nitakukinga Bailando basi pinda Ukirudi kwa nyuma nakukinga Haya go, baby ringa Ikija mvua baby mi nitakukinga Bailando basi pinda Ukirudi kwa nyuma nakukinga I wish, leo tulewe mpaka tubebwe I wish, nimwone Wolper akiruka debe I wish, nimwite Naseeb aimbe Jeje I wish, our wedding, our wedding Ona unafuraha we una raha We chuki wataziraha, watafuba watakosa raha Basi gimme more, unapokwenda baby na mimi nimo Utaratibu huko nyuma kuna shimo Mmh aah utanidondosha wee Mpaka mapepe Shilole waambie waache kitete Joto jipepee Mtungi ukiisha tule mpepe Haya go, baby ringa Ikija mvua baby mi nitakukinga Bailando basi pinda Ukirudi kwa nyuma nakukinga Haya go, baby ringa Ikija mvua baby mi nitakukinga Bailando basi pinda Ukirudi kwa nyuma nakukinga I wish, leo tulewe mpaka tubebwe I wish, nimwone Wolper akiruka debe I wish, nimwite Naseeb aimbe Jeje I wish, our wedding, our wedding

Kusah کے مزید گیت

Kusah →

متعلقہ بول