Waridi
SW

Waridi کے بول

البمTeipa's Tales
سال2022
صنفPop
اصل زبانSW
مناظر5
Aaپڑھنے کی ترتیبات
متن کا سائز 18

اصل بول

SW
ترجمہ ابھی دستیاب نہیں۔ اصل بول دکھائے جا رہے ہیں۔
(Unanikomesha) uhh (Unanikomesha) (Unanikomesha) ni vampK (Unanikomesha) 254 (big Daddy) Ukidunga kamini Gunia Gauni ama Dera, Bado we ni mashini Sijui nikwanini, Nikikuona nahisi nginyera inakata maini Wanashangaa ati Niko Boring na hauendagi kwao Wanasambaza nyori na hatukulagi kwao Bila chapaa hatuna ngori fiti zaidi yao Hata tukiwa na njaa tunala story finger pande yao Nitunze Kama mshumaa ama koroboi Ndo nisipoe, unipende Mimi, mhh Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali dooh Wasikutoe unitende Mimi Wasikuvizie unikimbie mpenzi (waridi) Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea (waridi) Nivumilie, nikuhudumie, babe (waridi) Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeh (Unanikomesha) Nyumba magari havishindi thamani yako, (unanikomesha) Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (unanikomesha) Sukari asali havishindi utamu wako (unanikomesha) Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu (Unanikomesha) (Unanikomesha) Kuja ghetoni tupike Ukaange nikionja Hadi kwa sufuria kaive, iyeeih Kisha stima tuzime Tukule mziki kwa nguvu mpaka majirani wakujee, iyeeh Ulivyojaah Nika unakulaga ijumaa Ukinishika moyo unashikwa na kaswende nazubaa Unanifaa, yaani mi ndo Giza we ndo taa Ninavyokupenda nikama nimekuzaa eeeh Nitunze Kama mshumaa ama koroboi Ndo nisipoe, unipende Mimi, mhh Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali dooh Wasikutoe unitende Mimi Wasikuvizie unikimbie mpenzi (waridi) Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea (waridi) Nivumilie, nikuhudumie, babe (waridi) Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeh (Unanikomesha) Nyumba magari havishindi thamani yako (unanikomesha) Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (unanikomesha) Sukari asali havishindi utamu wako (unanikomesha) Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu (Unanikomesha) (Unanikomesha)

Leteipa the King کے مزید گیت

Leteipa the King →

متعلقہ بول