Shada
SW

Shada کے بول

صنفPop
اصل زبانSW
مناظر5
Aaپڑھنے کی ترتیبات
متن کا سائز 18

اصل بول

SW
ترجمہ ابھی دستیاب نہیں۔ اصل بول دکھائے جا رہے ہیں۔
Hadithi tamu ya upendo tayari ushanisimuliaga Sitaki mbwembwe na kwele mchele kwa kuku kumwaga Mwenzako nakupenda we yote sema mi nitasikia Unanipaga moyo nikianza kulia chozi unanifutia, aah Utamu ila si kidogo Weukae usiwe mbogo Ukaniona toto dogo Utamu ukaurusha ee Utamu ila si kidogo Weukae usiwe mbogo Ukaniona toto dogo Utamu ukaurusha ee Halo Baba, penzi shada Naomba univishe la maisha penzi Usiniache njiani Halo Baba penzi shada Nipe mapenzi na mi nikuenzi Milele maishani Halo Baba penzi shada La maisha penzi usiniache njiani We ndo umeshika funguo Usiruhusu wezi kuichukua Ukaniacha maji ya shingo Na mipira nigoyomea Niite faragha nikikosea Nikalishe chini nimejenga kibanda Niite faragha nikikosea Nikalishe chini nimejenga kibanda Utamu ila si kidogo Weukae usiwe mbogo Ukaniona toto dogo Utamu ukaurusha ee Utamu ila si kidogo Weukae usiwe mbogo Ukaniona toto dogo Utamu ukaurusha ee Halo Baba penzi shada Naomba univishe la maisha penzi Usiniache njiani Halo Baba penzi shada Nipe mapenzi na mi nikuenzi Milele maishani Halo Baba penzi shada La maisha penzi usiniache njiani Usiniache njiani Usiniache njiani

Malkia Karen کے مزید گیت

Malkia Karen →

متعلقہ بول