We Huogopi
SW

We Huogopi کے بول

صنفAfrobeats
اصل زبانSW
مناظر21
Aaپڑھنے کی ترتیبات
متن کا سائز 18

اصل بول

SW
ترجمہ ابھی دستیاب نہیں۔ اصل بول دکھائے جا رہے ہیں۔
Yah, yah, yah, yah Yah, yah, yah, yah, yah Yaweh, Yaweh Eh Mungu wangu, ona Kidogo ulichonijalia mimi Kuna watu wanakerekwa Wanaumia yah, ah Hapo ndo sina hata vyangu Naishi nyumba ya kupanga Sa nikijenga itakuaje? Wataniwekea sumu Wataniua mimi (aah) Siku hazifanani (aah) Kesho yangu yaja (oh yaja) Nitanunua kandinga Wale watakao nipinga Siwapandishi Na Mungu si athumani (aah) Jina langu litatajwa, litatajwa Nitayashinda, namwamini yeye tu Hamnitishi Nalindwa na Sir God (we huogopi) Nipo ngangari na siogopi chochote (we huogopi) Ukirusha mshale unadunda (we huogopi) Na ndo maana ni nadunda tu (we huogopi) Nalindwa na Baba eh (we huogopi) Nipo ngangari na siogopi chochote (we huogopi) Ukirusha mshale unadunda (we huogopi) Na ndo maana mi nadunda tu (we huogopi) Mia yangu, jero yangu, buku yangu Niko happy, kisichoriziki naachana nacho Ndala yangu, bukta yangu, shati langu (eeh, mmh) Niko happy, kisichoriziki naachana nacho Siku hazifanani (aah) Kesho yangu yaja (oh yaja) Nitanunua kandinga Wale watakao nipinga Siwapandishi Na Mungu si athumani (aah) Jina langu litatajwa, litatajwa Nitayashinda, namwamini yeye tu Hamnitishi Nalindwa na Sir God (we huogopi) Nipo ngangari na siogopi chochote (we huogopi) Ukirusha mshale unadunda (we huogopi) Na ndo maana ni nadunda tu (we huogopi) Nalindwa na Baba eh (we huogopi) Nipo ngangari na siogopi chochote (we huogopi) Ukirusha mshale unadunda (we huogopi) Na ndo maana mi nadunda tu (we huogopi)

Phina کے مزید گیت

Phina →

متعلقہ بول