Ntade
SW

Ntade کے بول

صنفAfrobeats
اصل زبانSW
مناظر2
Aaپڑھنے کی ترتیبات
متن کا سائز 18

اصل بول

SW
ترجمہ ابھی دستیاب نہیں۔ اصل بول دکھائے جا رہے ہیں۔
Ile mito milima tuliopita uliiona Nikavumilia nika ng'ang'Ana si unaona Kuna vijidada vinadanga utaona Vikijipitisha vinatingisha utaona Wambieee, siongezi neno nishaweka nukta Wajue, nilitulia sikukurupuka Wambie eeehe umenibana sitofurukuta Mie nipeleke vyovyote mwendo wa guta Hata uuze karanga (sawa, sawa) Nimeridhia kidogo tutachanga (sawa, sawa) Hey! Wanasema umenipiga manyanga (sawa, sawa) Niroge niue nimefundwa na nyakanga (sawa, sawa) Nikumbate kama mtoto (Ntadeka ntade, ntade) Tena unipe penzi moto moto (Ntadeka ntade, ntade) Babaa wewe (Ntadeka ntade) Baba ba baba Naheshimu maamuzi maana Nimempenda mwenyewe Nishayavulia nguo bwana Acha nioge Ananikuna panapo kunika nikiwashwa Ananishona palipo chanika sitomwacha Ila unajuaga mimi Mwenzako nakupenda, napenda kweli kweli Tena baby mwenzako mimi Endapo ukinitenda, utantenda kweli kweli Hata uuze karanga (sawa, sawa) Nimeridhia kidogo tutachanga (sawa, sawa) Hey! Wanasema umenipiga manyanga (sawa, sawa) Niroge niue nimefundwa na nyakanga (sawa, sawa) Nikumbate kama mtoto (Ntadeka ntade, ntade) Tena unipe penzi moto moto (Ntadeka ntade, ntade) Babaa wewe (Ntadeka ntade) Baba ba baba (Ntadeka ntade) Ntadeka (ntadeka ntade) Ntadeka, ntadeka, ntadeka we (Ntadeka ntade) Uuhhh (ntadeka ntade) (Ntadeka ntade)

Ruby Tanzania کے مزید گیت

Ruby Tanzania →

متعلقہ بول