Nalingi Ye (feat. Christian Bella)
SW

Nalingi Ye (feat. Christian Bella) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量1
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Kwanza rangi yake Mfano wa tausi ndege wake Huku kununa kwake Akinuna aznidi kuwa mwake Niogopee Niogopee ukisita nuna Niogopee Ili mradi tuwe na furaha Niogopee Niogopee ukisita nuna Niogopee Ili mradi tuishi kwa furaha Nami ninyuke pamba Unipe lava lava Nijione ndo mie Nikiwa zangu viwanja Nijione mnjanja Niwe na shine mie Eeh basi njoo Nakupenda vibaya Basi njoo Nikikuona nagwaya Basi njoo Nakupenda vibaya Basi njoo Nikikuona nagwaya Ha! Nifanye nini mie? Nakupenda my sweet ooh, baby boo Nifanye nini mie? Nakuhitaji my girl, baby baby baby ooh Nifanye nini mie? Nakupenda my sweet ooh, baby boo Nifanye nini mie? Nakuhitaji my girl, baby baby baby ooh Ah, tabasamu wazimu Ukarimu nakuheshimu Namuomba ya karima Azidishie timamu Usinighiribu Nikapata taabu Udhaifu wangu Isiwe sababu, ona nakupenda Na penzi letu Ni kama maji yaliyo twaa maa Wasambaze tusiwape ya kusema Chumbani tuuzie jina Naomba unitunzie jina iyee Sheri yoo motema Nifanye nini mie? Nakupenda my sweet ooh, baby boo Nifanye nini mie? Nakuhitaji my girl, baby baby baby ooh Nifanye nini mie? Nakupenda my sweet ooh, baby boo Nifanye nini mie? Nakuhitaji my girl, baby baby baby ooh We ndo wangu wa uzima Tutaungama daima Jua likichomoza Likizama, huniishi hamu We ndo wangu wa uzima Wa uzima yeah Ukamilifu timamu Hey (ahoo) Hey (aheee) Hey (yeah, yeah) Hey (ooh) Mimi na wee (hey) Mpaka milele (hey) Mimi na wee (hey) Wowowo

更多 Abdukiba

Abdukiba →

相关歌词