Shetani (feat. Mbosso & Costa Titch)
SW

Shetani (feat. Mbosso & Costa Titch) 歌词

流派House
原文语言SW
浏览量33
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Uchovu wa siku nzima Nafsi nataka niipongeze Tumwagilie mtima Wauni wangu mjisogeze Shogoroza, unga unga mwanangu upendeze Ukitongoza, funga munda motto kamkoleze Aaaahh shetani amepita Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika Aaahh DJ acha sifa Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika Ooh salome salome Nimempenda uyo shoya yako salome Ooh salome salome Niweke niwe shem wako salome Aaaahh shetani amepita Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika Aaahh DJ acha sifa Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika Yala yala yala Yala yala yala Yala yale yala Yala yala yale (yalaa) Yala yala yala Yala yala yala Yala yale yala Yala yala yale (yalaa) Ah Monday to Sunday Ah ziyakhala manje I needa trip zanzibar, needa rock kendwa rocks Needa baddie on a yacht ashante 'Cause I don’t want no stress (yea yea yea) Girl you rocking with the best (yea yea yea) The titch gang never rest (yea yea yea) This summer we the best (yea yea yea) Monate mnate Rona re batla monate mnate (monate mnate) Monate mnate Rona re batla monate mnate (monate mnate) So let’s go party Motto wangu let’s go party (let’s go party) So let’s go party Kama hakuna wasiwasi (hakuna wasiwasi) Aaahh shetani amepita Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika Aaahh DJ acha sifa Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika

更多 Alfa Kat

Alfa Kat →

相关歌词