Mpita Njia (feat. Juliana Kanyomozi)
SW

Mpita Njia (feat. Juliana Kanyomozi) 歌词

流派Regional
原文语言SW
浏览量71
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Juliana we Sijui nianzie wapi Lakini kuna jambo nataka kukueleza Yule bwana mimi naye tuna hadithi Naye hucheza ule mchezo wa pata potea (Do you remember) Mimi na wewe ni marafiki toka zamani Siwezi kukudanganya Nia yangu kukulinda tokana na mwizi (Wachana na mwizi) Mwizi wa mapenzi Mpita njia, mpita njia Asante yake mateke Kwako hatakaa milele Kesho atapata mwingine Akuage alivyo niaga Pilipili, usiyoila yakuwashia nini? Bahati yangu Sio yako, hilo jua Simply because a man couldn’t fall in love with you (He couldn’t fall in love with you) It doesn’t mean he can’t love me (he loves me) Nakuonya tena mara moja ya mwisho Tuache na amani Mpita njia Si mpita njia (Ni mpita njia) Dada yangu acha kelele (Sio kelele) Najua apenda? Mpita njia Safari yake imeisha Kwani kwangu amefika Endelea kujidangaya Mpita njia Ni mpita nia, atakuumiza Mpita njia Mpita njia, mpita njia Asante yake mateke Kwako hatakaa milele Kesho atapata mwingine Akuage alivyo niaga

更多 Alicios

Alicios →

相关歌词