Baraka
SW

Baraka 歌词

流派World Music
原文语言SW
浏览量6
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Zawadi eh usiliye liye Sa ineneya mtoto wangu lala Eeeh! Mi nakupenda mama anaimba Baba eko wapa naua yangu eh lala Ooh, lala lala lala lala Kuzala nayo ni baraka Kuzala nayo ni furaha Kuzala nayo ni baraka Ni baraka! Kuzala nayo ni furaha Kuzala nayo ni baraka Kuzala nayo ni furaha Ni furaha! Mama ni mupenzi Baba eko karibu Usiliye tena mi nakupenda lala, ah! Ooh lala eh, eh, lala lala lala Lala Mapendo mi nakupa, cloclo alinipa Joseph alinipa mapendo juu ya kweli eh Mapendo ya mama Baraka yangu nikoona unakomeya Nikoona unafuraha kwani nehemaya bwana Oh eee bwana, malaika wangu eeeh lala! Kuzala nayo ni baraka Kuzala nayo ni furaha Kuzala nayo ni baraka Ni baraka! Kuzala nayo ni furaha Kuzala nayo ni baraka Kuzala nayo ni furaha Ni furaha!

更多 Barbara Kanam

Barbara Kanam →

相关歌词