Ukimwona
SW

Ukimwona 歌词

流派Hip Hop Rap
时长3:53
原文语言SW
浏览量871
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu Yashanipiga sasa sinabudi nielewe Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu Japo nishida ila, nitabaki mwenyewe Ohh ila , mpe shukrani kwa kuniumiza suraya Mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu Na asisikie kisirani, hukumu ya mapenzi mabaya Hata ungali hai kayruki usingetibu gonjwa langu Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda) Sina amani nasaga rumba (rumba) Ohh unani dunda dunda Sema chine tembee moyoo Unanidunda dunda (mamii moyooo) Sina amani nasaka rumba (oohh mimii) Oh unani dunda dunda Eeh ukimwona Ukimwona ukimwona Ukimwona ukimwona Ukimwona We nenda mwambie marafiki, marafiki wabaya Tena wengi waongo, hawawazi ndanganye Oya ni mashoga rafiki, oohh marafiki wabaya Oh mmh Tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa sipajui Mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui Ubaya, kinacho niumiza, maneno neno maneno Mara kwa ndugu rafiki, kwanini anawapa misemo Najaribu papasa, mbona ka macho ataona chochote iIa ndo kutwa mikasa, na nazidi kuanguka, niokote Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda) Sana amani nasaga rumba (rumba) Ohh unani dunda dunda Sema chine tembee moyoo Unanidunda dunda (mamii moyoo) Sina amani nasaga rumba (ooohh mimii) Ohh unani dunda dunda Eehh ukimwona Ukimwona ukimwona Ukimwona ukimwona

更多 Diamond Platnumz

Diamond Platnumz →

相关歌词