Waah (feat. Koffi Olamide)
SW

Waah (feat. Koffi Olamide) 歌词

流派Hip Hop Rap
原文语言SW
浏览量232
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Anachukua anaweka Waah (Le général Dangote) Anachukua anaweka Waah (Le grand Mopao) Anachukua anaweka Waah (Osiamboka) Anachukua anaweka Waah Kaghamu kupendwa nawe Kaghamu nasikia Tamu kupendwa nawe Tamu kupendwa nawe, tamuu Tamu kupendwa nawe Oh maneno maneno, tumeyazoea Vijineno neno, tushazoea Wapenzi wangu ku-party Kwani ninawahusu Shepu yake mbaya, hivi inawahusu Udangaji umalaya, wao inawahusu nini Wamegusa pabaya na mwaka huu Lazima wachuchumae Wameingia cha kike (eh waah) Cha kike Wameingia cha kike Cha cha cha kike (twale) Wameingia cha kike (kwa penzi letu) Cha kike (lazima watuchomai) Wameingia cha kike (kwa penzi letu) Cha cha cha kike Aah Bakokote, Babu Tale Don Mendez, Ba Juni eti Ba Juni Chumbani Hennessy Hunipatia panadol Kuchenga za Messi Na mashuti ya Ronaldo Yaani ndani nikiingia tu (Anachukua anaweka Waah) Ah, kwenye gari (Anachukua anaweka Waah) Iwe jikoni ama varandani (Anachukua anaweka Waah) Doze doze, doze doze (Anachukua anaweka Waah) Yaani baadae salama joto Toa leso nipepepee Oya kombo joto Toa leso nipepepee Oya mzee kunami, jipepee Oh Ricardo Momo, jipepee Oya mama Ndangote, jipepee Eeh Doni Fumbwe, jipepee Juu juu, jipepee Juu juu juu, jipepee Juu juu, jipepee Juu juu juu, jipepee [?] Fukama, fukama Fukama, fukama Papa mobinga, ya Papa mobinga, ye Papa mobinga, ya Papa mobinga, ye [?] Eeeh aah Eeeh, weeh Usiniguse, usinitouch Tusalimiane kwa miguu (Usiniguse, usinitouch Tusalimiane kwa miguu) Ooh nasema usiniguse, usinitouch Salamu iwe kwa miguu (Usiniguse, usinitouch Tusalimiane kwa miguu) Ooh kwanza kaa mbali Corona coro, corona coro Mwenzako naogopa Corona coro, corona coro Kwa tena vaa maski Corona coro, corona coro Mikono yako kuosha Corona coro, corona coro Iyo Lizer

更多 Diamond Platnumz

Diamond Platnumz →

相关歌词