Dunia
SW

Dunia 歌词

流派Pop
时长3:45
原文语言SW
浏览量850
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Nikifikiria dunia huwaga sipati jibu Nawaza mpaka nadata Nikikuuliza nini dunia huwezi kunipa jibu Hapo ndo napata utata Mmmh muda mwingine unaweza dhani ni utani Mbona vitu vizuri vyote viwe ni vya shetani Eti mziki shetani, pesa nazo shetani Mpira na pombe shetani Mademu na mihadarati, shetani Naamini Mungu yupo najua Ndo ananifanya ninapumua Akitaka hata sasa ananichukua Ila mi nataka kujua Ni nini dunia Dunia dunia Hivi ni nini dunia Dunia eeh Mmmh wanaoishi kwa imani Misikitini makanisani Uwepo wao hauonekani Hali zao zipo taabani Hivi ulikuaga wapi before Hujaja duniani Na kwanini kunakifo Unapokwenda hapajulikani Sawa safari ni yetu sote Na hakuna aliyekwenda na akarudi Japo kutusimulia Kama pazuri ama pabaya Uwe tajiri ama masikini Kwa mchanga utarudi Minatoa wosia Tusiishi kwa ubaya Kunakidude kinaitwa mapenzi Hakijawahi kueleweka Wakati wewe unalia Mwenzako yeye anacheka Hivi ni nini dunia Dunia dunia Ni nini dunia Dunia eeh Eeh Pedezye Kumbuka Msalimia mwijaku Tuombeane mwisho mwema (eeh eeh yeah) Tuombeane mwisho mwema (maana hakuna anaejua kesho) Tuombeane mwisho mwema (kama wewe muislamu) Tuombeane mwisho mwema (omba kwa dini yako) Tuombeane mwisho mwema (kama wewe ni mkristo) Tuombeane mwisho mwema (nisiri nisiri) Tuombeane mwisho mwema (tuombeane nisiri) Ni nini dunia Dunia dunia Hivi ni nini dunia

更多 Harmonize

Harmonize →

相关歌词