Sawa
SW

Sawa 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量1.7K
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Mapenzi tu Nimepagawa hamjui Ye kila mara ananifanya silali Namwaza yeye tu Anayeweka roho yangu juu Ana utoto tu Sema uzuri ananipaga asali Mi nailamba tu   Na penzi letu ni kama sunna Na ulinzi kama suma Hata akinuna Bado unapendeza mchumba Mkimuona ananichuna Msinionee huruma Cha mtu huliwa na mtu Kutu yake chuma   Basi mwambieni nampenda Sawa, sawa, sawa Ah mwambie mi nampenda Yes (sawa), right (sawa), sawa   Huo utamu hasa nikiingia Akifungua gate naingia Akipanua neti naingia Na wala sikwepeshi naingia Sina akili ya kuchange idea Hapo hapo nimemng’ang’ania Hapo hapo nimeshikilia Na visokorokwinyo mtaumia, naahaa   Kwa hakika haya mapenzi Kusema kweli, yataniua Kwa hakika haya mapenzi Kusema kweli, yataniua   Na penzi letu ni kama sunna Na ulinzi kama suma Hata akinuna Bado unapendeza mchumba Mkimuona ananichuna Msinionee huruma Cha mtu huliwa na mtu Kutu yake chuma   Basi mwambieni nampenda Sawa, sawa, sawa Ah mwambie mi nampenda Yes (sawa), right (sawa), sawa

更多 Jay Melody

Jay Melody →

相关歌词