Mitego
SW

Mitego 歌词

流派World Music
原文语言SW
浏览量4
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Oh oh oh Alijipatia amevaa suti na tai kali Ametamka anaenda kutafuta mashilingi Na kumbe mbele majaribu na mipango mikali Alirejea kama hana kitu mfukoni Akaangaliwa na huzuni na watoto wake Akawaimbia wimbo na kuwahimiza Mungu yupo: Wamechimba shimo niingie, wataingia wenyewe Wameweka mitego nipitie, sitapitia Watapitia wenyewe Tegua tegua mitego waloniwekea Pangua pangua mipango walonipangia Baba najua una nguvu ya kupangua mitego Ile imewekwa ili niaibike Baba najua una uwezo mwingi Naweka imani kwako Natazama bingu nakuona Paulo na Sila Natazama bingu nakuona mtumishi Stephano Natazama bingu nakuona baba Yusufu Natazama bingu naah Wamechimba shimo niingie, wataingia wenyewe Wameweka mitego nipitie, sitapitia Watapitia wenyewe Tegua tegua mitego waloniwekea Pangua pangua mipango walonipangia Tegua tegua Pangua pangua Wamechimba shimo niingie, wataingia wenyewe Wameweka mitego nipitie, watapitia wenyewe Tegua tegua mitego waloniwekea Pangua pangua mipango walonipangia

更多 Kaberere

Kaberere →

相关歌词