Uso Unasigiziwa
AF

Uso Unasigiziwa 歌词

流派Gospel / Religious
原文语言AF
浏览量41
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

AF
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Amenisimamisha kizimbani potelea mbali gerezani Milele roho chafu wachakudaganya mie mla watu fisi mtapeli Wa penzi lako mtu ni tambia igali sambamba eeh uso uso unausigizia Nini hivyio baby usiniache, siku zote unipede tujegane mimi niwe maji Yako unichotage wewe uwe gari langu nikuedeshe hadi uzeeni Mi stima nieke mbali na maji eeh Mola malaika mola malaika walimwegu mko wapi Kusema ukweli uso wangu unasigiziwa unasigiziwa eeh Nitalia na nani ooh Nitalia nitalia eeh nani atakaenipeda kwa dhati aje anitulize Moyo niwe mali yake anitawale tena niwe vazi lake Anivalie, chozi likitirika mengi nimejionea jah anayenijua Nimelala sakafuni sema maumivu kwa wingi ukweli wa mambo Mola malaika walimwegu mko wapi uso wangu unasigiziwa Unasigiziwa eeh nitakufa na nani ooh nitalia nitalia eeh nani Atakaenipeda kwa dhati aje anitulize moyo niwe vazi lake Anivalie tena niwe mali yake anitawale milele mimi niwe wake eeh Nikamue mooh nikupe maziwa siku zote tena nikamue Meeh nikupe mborea siku zote nikamue mooh nikupe Maziwa siku zote tena nikamue meeh nikupe mborea siku zote

更多 KingsMainaMSsteve

KingsMainaMSsteve →

相关歌词