Kelele (feat. Ruby)
SW

Kelele (feat. Ruby) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量12
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
We umenikaa, umenikaa kwa roho Nafsi mpaka akili yangu We dada umenibamba mmh mhh Ooh darling, halafu tumetokaga mbali mmh Sioni dalili ya kukuumiza ukalia Halafu darling, mwenzako nakupenda kweli Tufike wawili, sitaki mwingine kwa safari Penzi letu lime-takeover Nimekunywa, nina hangover Umegeuka gari, umenigonga mmh mhh Penzi letu lime-takeover Nimekunywa, nina hangover Umegeuka gari, umenigonga Umenishika kichwa, umeninyonga Ila kelele lele, wana kelele lele Kelele lele, wana kelele lele Ooh kelele lele (maneno ya kando kando) Wana kelele lele (hawanaga mipango) Kelele lele (yatakwisha baba) Wana kelele lele (iye iye iye) Wale walinidhurumu, nikawapa wakaiba Ukaifuta na sumu, ukaijenga na huba Baba baba niongezee, nipe vyote nikumbate Na mahaba nipe yotee, wale wasinikamate iyee Penzi letu lime-takeover Nimekunywa, nina hangover Umegeuka gari, umenigonga (uuh uuoh) Penzi letu lime-takeover Nimekunywa, nina hangover Umegeuka gari, umenigonga Umenishika kichwa, umeninyonga Ila kelele lele (maneno ya kando kando) Wana kelele lele (hayanaga mipango) Kelele lele (yatakwisha mama mama) Wana kelele lele (iye iye iye) Ooh kelele lele (maneno ya kando kando) Wana kelele lele (hawanaga mipango) Kelele lele (yatakwisha baba) Wana kelele lele (iye iye iye) Maneno ya kando kando Hayanaga mipango Yatakwisha mama mama Iye iye iye

更多 Kusah

Kusah →

相关歌词