Binti
SW

Binti 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量10
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Binti amka acha huzunika Binti amka acha sikitika Binti amka jikaze anza mwendo Binti u mrembo na bado wang'ara Binti amka acha huzunika Binti amka acha sikitika Binti amka jikaze anza mwendo Binti u mrembo na bado wang'ara Kama uko shule vitabu ni juhudi ongeza Kama mwajiriwa hakikisha cheo umepanda Kama biashara ongea vizuri na wateja kamwe usikubali mtu akukatishe tamaa Binti amka acha huzunika Binti amka acha sikitika Binti amka jikaze anza mwendo Binti u mrembo na bado wang'ara (sana aa) Unadiliki kusema huwezi ishi bila yeye miaka iliyopita hukumjua ni nani yeyeee Mbona uliishi na umekuwa mkubwa sasa Iweje akuzuge ili maisha yakuchanganye (Oh, oh ee ee) Binti amka acha huzunika Binti amka acha sikitika Binti amka jikaze anza mwendo Binti u mrembo na bado wang'ara Binti imara siku zote ni shujaa Kila utendalo maishani utafanikiwa Achana majungu usisikie wasemayo Piga moyo konde mwisho wa safari utafika (Maisha hayataki papala tulia uone nini cha kufanya na nini cha kuacha) Binti amka acha huzunika Binti amka acha sikitika Binti amka jikaze anza mwendo Binti u mrembo na bado wang'ara Binti amka acha huzunika Binti amka acha sikitika Binti amka jikaze anza mwendo Binti u mrembo na bado wang'ara Wow wow oh Binti amka acha huzunika Binti amka acha sikitika Binti amka jikaze anza mwendo Binti u mrembo na bado wang'ara Binti amka acha huzunika Binti amka acha sikitika Binti amka jikaze anza mwendo Binti u mrembo na bado wang'ara Binti amka acha huzunika Binti amka acha sikitika Binti amka jikaze anza mwendo Binti u mrembo na bado wang'ara

更多 Lady Jaydee

Lady Jaydee →

相关歌词