Kitete
SW

Kitete 歌词

流派Afrobeats
原文语言SW
浏览量5
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Zile fitina fitina maneno, sitaki kusikia Wala lawama zawale vikwazo, mbali nitatupia Mh! Kwani nini kosa langu minawaza siambui Tamu imegeuka chungu ghafla umekuwa chui ie he! Hee Ninashindwa kula hata kulala mawazo Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo Ninashindwa kula hata kulala mawazo Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo Kitete kitete Nitawezaje pekeangu Kitete kitete Umeivuruga akili yangu Kitete kitete Nitawezaje pekeangu Kitete kitete Umeivuruga akili yangu Mmh! Ah! Mjini vishawishi vingi baby chunga tamaa Shetani ibirisi shilingi fupisha macho kuona Nakama nimekosa baby basi tuwekane sawa (uuh) Makosa kaumbiwa binadam siwezi kuwa sawa ooh! Hee! Wasiokupenda shoga zako hivo chunga siri usiwaambie wenzio Ya ndani ku amwaga madhaifu yangu nitunzie mwenzio ooh Ninashindwa kula hata kulala mawazo Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo Ninashindwa kula hata kulala mawazo Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo Kitete kitete Nitawezaje pekeangu Kitete kitete Umeivuruga akili yangu Kitete kitete Nitawezaje pekeangu Kitete kitete Umeivuruga akili yangu (Mawazo!) Usiku silali nakesha unanitesa hisia zangu (mawazo) Kibaya zaidi nashindwa kujua nini kosa langu, mawazo oh) Lala lalililaa lololo, mmmh

更多 Lomodo

Lomodo →

相关歌词