Manyaku
SW

Manyaku 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量4
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Blaq, Blaq Blaq on the beat They call me Toto Bad Sir God kaumba kapatia Hana dosari ana vutia Sebure kwa chumba kajazia Ladha asali ana natia Akitupia ana pendeza kama mdori Lips colour mpaka raha kama kachori Namba D car hajatembezwa bado kigori Kama kungu kala mpaka raha jicho goroli Kama samaki sangara Hiyo mikogo (wacha bwana) Manyaku kama nawaona Nimacho kodo mieee Akini touch touch Moyo una dundaga Una dundaga Akisema sitaki Akinuna moyo una dundaga Una dundaga Wapo watao sema hunifai Ili wakuchukue Vaniachie majanga Penzi wa chakachue Watakodi madinga ma tai Ili wakuzuzue Wajitie waganga Penzi waligangue Ujasiri sina wa kuvumilia nnapo umizwaa Huo moyo sina nikizama kina mpaka kiiza Kama samaki sangara Hiyo mikogo (wacha bwana) Manyaku kama nawaona Nimacho kodo mieee Akini touch touch Moyo una dundaga Una dundaga Akisema sitaki Akinuna moyo una dundaga Una dundaga Manyaku nyaku Manyaku nyaku Manyaku nyaku Manyaku nyaku The Mix Killer Ostrich Music

更多 Marioo

Marioo →

相关歌词