Raha
SW

Raha 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量9
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Aah mmmh mmmh Ah unaringa umepima? Aii utajiju Huu mwaka utachina Si ulileta unyang'au Ukaukwi kunitishia Unaondoka unaondoka Kama daladala za Kariakoo Inatoka inatoka Hadharani unanisusia Kuropoka ropoka Ama domo lako shimo la choo Yanakutoka Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka Maana nishapata pa kuegemea Mmmmh napendwa, na sio kwa ninavyojidekea Hulka yako ya pupa, mwenzako ananinyenyekea Ooh kutendwa Nakusikia kwenye bomba Na tena naenjoy Mpa ka raha mpaka natakatishwa Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy Napenda akinipa Akinipa migandisho Kama anapigwa shoti Akisakata migandisho Na kama mapenzi Roho yake bahari Huu muda naelea Maana nishazamaga Nishakufa mzoga Na kama penzi melody kali Mi kwake ndo burudani Wala sidhani ka Ataridhika kunikosa Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka Maana nishapata pa kuegemea Mmmmh napendwa, na sio kwa ninavyojidekea Hulka yako ya pupa, mwenzako ananinyenyekea Ooh kutendwa Nakusikia kwenye bomba Na tena naenjoy Mpa ka raha mpaka natakatishwa Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy

更多 Marioo

Marioo →

相关歌词