Wauwe
SW

Wauwe 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量5
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Dengula nyonga msokoto Maana mimi nimekuja na bapa Masha luv wee lete watoto Wanyonyonga party za kukata Nyumbani mimi nimechoka Mavitu ya mama Nataka dhuluma dhuluma eeh Nipate ndogo ndogo baridi mwanana Kama kuna nyama choma fire Mapucho pucho Akikupa kwenye kona gwaya Nyuma kwa mbele, kulia, kushoto Wauwe, wauwe, wauwe, wauwe Maritili, ka dinner Na anataka piece kama wema Japo kitu kama mkono, mkono Ata kwenye giza ndo kudema Mama mama jishikilie Nabadilikia kilimani Ooh mama mama nitilie Kama tandoni na ukokoni Kama kuna nyama choma fire Mapucho pucho Akikupa kwenye kona gwaya Nyuma kwa mbele, kulia, kushoto Wauwe, wauwe, wauwe, wauwe Alkaida, na kama alkaida Alkaida, na kama alkaida Wauwe, wauwe, wauwe, wauwe

更多 Marioo

Marioo →

相关歌词