Niteke
SW

Niteke 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量1
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Kwako tetere nishazubaa Nipe mchele, usinipe chuyaa Uwache pele, tuliza pupa, ooh ooh Usije ukaniua titiri, ooh Ooh nishakupa vyote vyako (ooh lalala) Mautam mamnato (ooh lalala) Niteke (mateka niteke) Niteke (niteke teke niteke) Niteke teke (mateka niteke) Niteke (ooh) Siri ishia mrama Mwaga mwaga ma Siri ishia mrama Mwaga mwaga ma Uma fiti, nidhibiti Ukimumunya pipi Utamu wa kisiginoni Nichikiche nichikichi Sina shovu nnje ya kiti Leo unakesha kilindoni Nitwange nipepete Nisage nichekeche Nikande niumbuke Kilima nipandishe Kibinda mkoi mkoi (aaee eeh) Kiwinda pori pori (aaee) Naringa doli doli (aaee eeh) Mawinga chori chori Niteke (mateka niteke) Niteke (niteke teke niteke) Niteke teke (mateka niteke) Niteke (ooh) Siri ishia mrama Mwaga mwaga ma Siri ishia mrama Mwaga mwaga ma Mateka niteke Niteke teke niteke Mateka niteke Ooh Mwaga mwaga ma!

更多 Maua Sama

Maua Sama →

相关歌词