Huyu Yesu (feat. Angel Benard)
SW

Huyu Yesu (feat. Angel Benard) 歌词

流派Gospel / Religious
时长4:00
原文语言SW
浏览量137
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Hallelujah, onho Huyu yesu si sanamu, si mwanadamu adanganye Ahadi zake zote kweli na amina nimemuona Na akisema ndio, hakuna wa kumpinga Akikubariki, hakuna wakunyang'anya Akiku ahidi, kwa wakati atimiza Anavyokuita, ndivyo ulivyo Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie Unatangaziwa nini, umetabiriwa nini maishani mwako mwambie Unaumizwa na nini, je unahofu gani maishani mwako Mwambie Na akisema ndio, hakuna wa kumpinga Akikubariki, hakuna wakunyang'anya Akiku ahidi, kwa wakati atimiza Anavyokuita, ndivyo ulivyo Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie Onho mwambie enhe Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie

更多 Mercy Masika

Mercy Masika →

相关歌词