KODOO
SW

KODOO 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量3
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Kutwa kuchaa niko nae Kwenye shida na raha niko nae Si subutu hata kuachana nae Akinuna me nacheka nae Natamani hata hii dunia ingekuwa yangu Nikupu wewe (nikupe wewe) Na kama wapo wengine wasiotaka mimi nikupende (nikupende) Acha watutolee macho macho Macho kodoo Macho, macho, macho kodoo Acha watutolee Macho (kodoo) macho, macho kodoo Macho (kodoo) macho, macho kodoo Nakupenda balaa (balaa) Na vile unanyyodenda balaa (balaa) Yani tunapendana balaa (balaa) mi love, mi love Na tena nishawambia umenishika ah Tena umenishika haswa Hata ukinigusaga nafurahi Unanijulia sita kwa sita sasa Maji yamenifika hapa Safari nafikaga na ndo maana Natamani hata hii dunia ingekuwa yangu Nikupe wewe (nikupe wewe) Na kama wapo wengine wasiotaka mimi Nikupende (nikupende) Acha watutolee macho macho Macho kodoo Macho macho, macho kodoo (Acha watutolee) Macho (kodoo) macho, macho kodoo Macho (kodoo) macho, macho kodoo Simuachi, simuachi, simuachi Simuachi, simuachi, simuachi Acha watutolee macho macho Macho kodoo Macho macho, macho kodoo (Acha watutolee) Macho (kodoo) macho, macho kodoo Macho (kodoo) macho, macho kodoo

更多 Mimi Mars

Mimi Mars →

相关歌词