Nimekuzoea
SW

Nimekuzoea 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量10
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
(Kimambo on the beats) Aiyayayaya aiyayayaya Aiyayayaya aiyayayaya Niko tuli baby Kama maji kwa mtungi Nyonga buli baby Nivute niiishi nibaki kishungi Aii zuri baby Nibandike nigande ka gundi Maakuli baby Nilishe nishibe kitumbo ndindi Unanikoleza, unanichombeza Unanilegeza ai wee Ukianzaga ndani unayaweza kitandani Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee Nakupenda, nakuwaza Bora my oh, my boo boo We nipende nikupende we Nimekuzoea, nimekuzoea Nime nime nime nimekuzoea Nimekuzoea, nimekuzoea Nime nime nime nimekuzoea (Aiyayayaya aiyayayaya) Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena Nipo katikati nazungukwa na upendo Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo Wanafikaga wapi? Peku bila sendoff Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo Nakupenda, nakuwaza Bora my oh, my boo boo We nipende nikupende we Nimekuzoea, nimekuzoea Nime nime nime nimekuzoea Nimekuzoea, nimekuzoea Nime nime nime nimekuzoea

更多 Nandy

Nandy →

相关歌词