Bye Bye (feat. Harmonize)
SW

Bye Bye (feat. Harmonize) 歌词

流派Afrobeats
原文语言SW
浏览量14
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Yeah The melanin queen, yeah Bomboclat Mmh Hivi tuseme alijisahau Ama alijiona ameshapanda dau Maneno maneno ya nahau Yakazidi, na mi mtu sio nyau Hakujua nini tofauti Baina ya mjinga na mpole Ooh hadi saluti Nikapiga nikisema sorry Kukuombea mema ni uongo Walahi nakuombea upate chongo Ada ya mja hunena Ungwana ni kitendo tuu Hadhi yangu kubwa sana mimi Siwezi kuwa mdondoo Hatuwezi kulingana Kauli hata matendo tu Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo Bye bye, bye bye Bye bye, mwanakwenda bye bye Bye bye, bye bye Bye bye, mwanakwenda bye bye Bye bye, bye bye Bye bye, hunidau bye bye Bye bye, bye bye Bye bye, sikudai bye bye oh, oh, bye bye mwanakwenda ah ah, ah, sikatai nilikupenda ah Uoga wa kunguru, kuzilinda mbawa zake Kikubwa uhuru, tajili na mali zake Hello from the other side and I feel so bad Kukuombea mema ni uongo Walahi nakuombea upate chongo Ada ya mja hunena Ungwana ni kitendo uuh Hadhi yangu kubwa sana mimi Siwezi kuwa mdondoo Hatuwezi kulingana Kauli hata matendo tu Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo Bye bye, bye bye Bye bye, mwanakwenda bye bye Bye bye, bye bye Bye bye, mwanakwenda bye bye Bye bye, bye bye Bye bye, sikudai bye bye Bye bye, bye bye Bye bye, hunidai bye bye Mamacita, te quiero tocar mi amore!

更多 Phina

Phina →

相关歌词