Baby (feat. Rowlene)
SW

Baby (feat. Rowlene) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量17
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Mwanzo nilijua upo msalani Kama sio uko utakuwa nyumba ya jirani Nikapiga simu yako haipatikani Ndio unapokea sa' hivi mummy Upo sehemu gani Hata kama sijajibu naomba Samahani Ile njaa ya tumboni imepanda mpaka kichwani Sijakuaga ila jua ndio nipo njiani Ningependa niwe na wewe, ila uko utumwani Ningependa niwe na wewe, ila uko utumwani Inamaana umechoka sa mbona ni mapema Hizo shida zimechosha ntazeeka mapema Ni kweli ndani kuna masufuria Chakula hakuna, nini nitakupikia Na Kama tukipika basi bamia Kutwa nzima na njaa kama ngamia Nguzo ya upendo kusubiria Kwa nini unashindwa nivumilia Na mimi mbona ninakupigania Mummy rudi nyumbani, Mola atajalia Aah siwezi, kwa nini? Sirudi, sababu gani? Siwezi, aah Sirudi Nguo zangu zilivyochoka kama tambala ya deki Zimetoboka unaweza kusema net Huishi madeni, dukani kwa mangi mpaka bank Na ukirudi nyumbani, mfukoni huna cent Anapanga mola, kupata kukosa ridhiki Akinipa nashukuru na kama nikikosa sibishi Kwenye swala la mapenzi, mali si kitu iyoo Kwenye mapenzi, moyo kioa kitu iyoo Inamaana umechoka sa mbona ni mapema Hizo shida zimechosha ntazeeka mapema Ni kweli ndani kuna masufuria Chakula hakuna, nini nitakupikia Na Kama tukipika basi bamia Kutwa nzima na njaa kama ngamia Nguzo ya upendo kusubiria Kwa nini unashindwa nivumilia Na mimi mbona ninakupigania Mummy rudi nyumbani, Mola atajalia Aah siwezi, kwa nini? Sirudi, sababu gani? Siwezi, aah Sirudi

更多 Rayvanny

Rayvanny →

相关歌词