Chombo
SW

Chombo 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量9
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
S2kizzy Baby Ololololololo Hehehe eh Vanny Boy Ololololololo Vanny boy Hey Foundation, wanja Nywele ya bei ya kiwanja Ndinga mkwanja Shopping mwendo wa kuchanja Sponsor danga Nichune komesha viranga Basi vimba tamba (Pull up) wakikuchamba Ooh lalala Cheusi mangala Wakanda Ooh lalala Tukale sangara wa mwanza Ooh lalala Nywele chotara kinanda Ooh lalala Ghetto papara misamba (Chombo, chombo, chombo) Kanakwenda na fashion (Chombo, chombo, chombo) Kana ngozi ya lotion (Chombo, chombo, chombo) Party chumbani sebuleni (Chombo, chombo, chombo) Ntakapeleka ukweni Macho yako malewa mie Figo mkalia nyongo Pekecha pekecha Ulindi ulimbombo Miniwako ning'ang'anie Kama mbozi na kimondo Nogesha nogesha Pekere na kamongo Ooh baby baby (baby) Mwenzako nita died (my baby) Hizo fujo chumbani Betuka binuka kwa bed beed Ooh lalala Cheusi mangala Wakanda Ooh lalala Tukale sangara wa mwanza Ooh lalala Nywele chotara kinanda Ooh lalala Ghetto papara misamba (Chombo, chombo, chombo) Kanakwenda na fashion (Chombo, chombo, chombo) Kana ngozi ya lotion (Chombo, chombo, chombo) Party chumbani sebuleni (Chombo, chombo, chombo) Ntakapeleka ukweni Ololololololo Ololololololo

更多 Rayvanny

Rayvanny →

相关歌词