Mbeleko
SW

Mbeleko 歌词

流派Pop
时长3:48
原文语言SW
浏览量719
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Wasafi! Hummm! Alisemanga dunia Ina mapambo yake Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake Nimezunguka aah nimefika kwake Siwezificha nimeshanasa kwa pendo lake Rabana, kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole Hata mama, kakusifu sana kitofauti na wale, Wajana Kule nilizama Tafadhali niokoe mamama Unipulize nipoe We ndo my queen baby my only Sitopenda uende mbali one day We ndo my queen baby my only Sitopenda uende mbali one day Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe We kama mtoto mii nakubembeleza Jiachie tu nikubebe Na jicho lako lakungu kama la nikonyeza Jiachie tu nikubebe eeh Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata Koleza motoo tupike tembele Kisamvu cha nazi njegere Sisi kutishe kelele sikwachi Linda na shamba wasije ngedere Kuku niitee kwa muchelee Mii sipigani na wewe Mi nati Ndio maana kwako nimezama Sitaki mi wanitoe mama ma Unipulize nipoe We ndo my queen baby my only Sitopenda uende mbali one day We ndo my queen baby my only Sitopenda uende mbali one day Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe We kama mtoto mii nakubembeleza Jiachie tu nikubebe Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza Jiachie tu nikubebe Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe We kama mtoto mii nakubembeleza Jiachie tu nikubebe Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza Jiachie tu nikube eeh Jiachie tu nikubebe Jiachie tu nikubebe We kama mtoto mii nakubembeleza Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza

更多 Rayvanny

Rayvanny →

相关歌词