Nitongoze (feat. Diamond Platnumz)
SW

Nitongoze (feat. Diamond Platnumz) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量29
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Weka shida chini glass juu tujipongeze Usijali wanafki wambea chapa mziki wote tucheze Enh Vanny boy Chui Platnumz (S2kizzy baby) Maswali mengi kwa waiter Hauna hela nini (eeti) Hiyo shingapi, hii shingapi Hauna hela nini (eeti) Maswali mengi kwa waiter Hauna hela nini (eeti) Ile shingapi, hii shingapi Hauna hela nini Nimeachwa staki tena maswali Naenda beach kula upepo wa bahari Naumwagilia moyo mziki kwa mbali Jimbo lipo wazi sema nitakubali Eti unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Eh bwana wee Hela ya kodi, nainywea pombe Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde Na kama hayanogi mapenzi usikonde Akiringa akwende, chukua mwingine sio kinyonge Yu kwapili? Yu kwapili huyo? (Basi nitongoze) Yu kwapili? Yu kwapili huyo? (Basi nitongoze) Yu kwapili? Yu kwapili huyo? (Basi nitongoze) Yu kwapili? Yu kwapili huyo? (Basi nitongoze) Nimeachwa staki tena maswali Naenda beach kula upepo wa bahari Naumwagilia moyo mziki kwa mbali Jimbo lipo wazi sema nitakubali Eti unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze) Eh bwana wee (S2kizzy baby) Zombie Onyesha boxer Ash tuone boxer Nyenyua shati ingia kati tuone boxer Onyesha boxer Ash tuone boxer Nyenyua shati ingia kati tuone boxer

更多 Rayvanny

Rayvanny →

相关歌词