Sikupendi
SW

Sikupendi 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量9
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Wasafi Sikupendi (hum) Sikupendi (aah) Sikupendi (eehh) Sikupendi (Max Maixer) Sikupendi Kichwa wanipasua, unanichapa fimbo Moyoni napata tabu Unajishaua unamalingo Kama una sura ya Dhahabu Ni miaka sasa nakufata Ndala zangu zote umekata Kutoka tegeta hadi tabata Mpaka visigino vimechacha Mara nasikia kuna bakari kinyozi Ulishampa Hadi kaka yake Rose Kwani we ni pilipili unitoe machozi Nikikufata waniletea mapozi Mapenzi uvumilivu unajua Ila kwako numeshidwa Upendo sasa majivu umeungua Basi mama we ndo Bima Ooh mamy looh (sikupendi) Utanitoa roho (sikupendi) Kila siku jibu lako no (sikupendi) Sikutamani ng'o (sikupendi) Naonyesha dhahili (sikupendi) Sikutamani tena (sikupendi) Nimeghaili (sikupendi) Na kwen siji tena (sikupendi) Hadi nahisi gundu mzee mwenzenu Kila mambo nikiset Nimegeuka mlinzi nyumbani kwenu Kila siku kwenye geti Nilikufata mpaka kigogo Kwenye shughuri yake mama Asha Modo Ukanitukana matusi nina shobo Pembeni yupo bwana yako Bengo Chogo Akanitimba migumi kede kede Nikawa mjinga tena bwege bwege Kama nimetinga pombe bege bege Alinishinda nikawa lege lege Hee eeh Nakata tamaa kuwa nawe Nikirudisha kumbukumbu Nilipo kuona na masawe Kwenye guest ya manungu Ulifanya nipagawe Kwa mawazo na uchungu Nilikesha nje oh mama wee Nikawa chakula cha mbu Mapenzi uvumilivu unajua Ila kwako numeshidwa Upendo sasa majivu umeungua Basi mama we ndo Bima Ooh mamy looh (sikupendi) Utanitoa roho (sikupendi) Kila siku jibu lako no (sikupendi) Sikutamani ng'o (sikupendi) Naonyesha dhahili (sikupendi) Sikutamani tena (sikupendi) Nimeghaili (sikupendi) Na kwen siji tena (sikupendi) Ooh mamy looh (sikupendi) Utanitoa roho (sikupendi) Kila siku jibu lako no (sikupendi) Sikutamani ng'o (sikupendi) Naonyesha dhahili (sikupendi) Sikutamani tena (sikupendi) Nimeghaili (sikupendi) Na kwen siji tena (sikupendi)

更多 Rayvanny

Rayvanny →

相关歌词