Nenda Lote
SW

Nenda Lote 歌词

流派Rb
原文语言SW
浏览量9
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Umetuma wazazi wako waje wanielezee Umetuma wazazi wako waje wanielezee Hunitaki tena Na mashoga zako waje waniambie Na mashoga zako waje waniambie Ndoa tumeivunja Siamini kuna time singeishi bila wewe Mapenzi ya kukata na shoka eeh Yashamwagika hayazoleki haya oh Basi nenda lote mama Nenda lote mama Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya oh Nenda lote mama Ukatuma lawyer wako aje anisomee Ukatuma lawyer wako aje anisomee Kua watoto ulonizalia eeh Kua watoto ulonizalia eeh Sitawaona tena Siamini kuna time tuliapa hadharani Kanisani kwa Chanda na Pete eeh Yashamwagika hayazoleki haya oh Nenda lote mama Nenda lote mama Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya oh Nenda lote mama Ukatuma pastor wako aje anikemee Ukatuma pastor wako aje anikemee Na madeni zangu ukazitangaza eeh Na madeni zangu ukazitangaza eeh Mitandaoni Shemeji zangu ndugu zako tukionana Waambie sisi bado rafiki eeh Wasinipite barabarani mama oh Umeenda lote mama (umeenda lote mama) Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya oh Nenda lote mama Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya oh Nenda lote mama

更多 Sauti Sol

Sauti Sol →

相关歌词