Afande (part. Idd Aziz)
英语

Afande (part. Idd Aziz) 歌词

专辑Umoja
年份2020
流派Alternative Rock
时长5:24
原文语言英语
浏览量182
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

EN
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
nimempata pata, msichana mmoja jina lako ni nani? yeye ni afande nataka nikujue mi umetoka wapi mbona afande we murembo sana naomba unishike mimi unihukumu afande unihukumu kifungo kifungo cha maisha nitie pingu afande nikuhumu na upendo wako eh, afande nataka unihukumu mimi samahani afande jina lako ni nani samahani afande jina lako ni nani hata kama ni kifungo nataka unifunge nataka unihukumu mimi kifungo cha maisha nitie pingu afande unifunge kingu cha mapendo nimempata pata, msichana mmoja nani? jina lako ni nani? yeye ni afande jina lake afande

更多 Skinshape

Skinshape →

相关歌词