Bado (feat. Rayvanny)
SW

Bado (feat. Rayvanny) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量8
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
S2Kizzy baby Vee Money on the track yeah Kipendacho roho, hula nyama mbichi baby Nobody knows that you are down for me Baby niruhusu nideke, nisichekwe Iwe kwa ngumi mateke, tuwe sote 'Cause kila mara akili yangu wewe tu Umenifanya nimezama mwenzio Kila mara akili yangu wewe tu Umenifanya nimezama mwenzio Baby you know (bado) The way that I know (bado) The thing that you do (bado) The way I love you (bado) Ooh baby you know (bado) Mi kufanya nikusahau (bado) Mpaka mi nikushushe dau (bado) Mi sipendagi madharau (bado) Nusu kaput Umenipiga nusu kaput Nusu kaput Umenipiga nusu kaput (Vanny Boom) Alamba alamba Tamu tamu katoa maganda Makibanda misamba Makarate kavunja kitanda Eeeh kanitekenya tekenya (ayee kanitekenya) Me napekenya pekenya (ayee mi napekenya) Kocho korokocho (ayee) Nikugande kiroboto (ayee) Njoo nikupe Burungutu (ayee) Mi kwako Zumbukuku (ayee) Yeah, kila mara akili yangu wewe tu Umenifanya nimezama mwenzio Kila mara akili yangu wewe tu Umenifanya nimezama mwenzio Baby you know (bado) The way that I know (bado) The thing that you do (bado) The way I love you (bado) Ooh baby you know (bado) Mi kufanya nikusahau (bado) Mpaka mi nikushushe dau (bado) Mi sipendagi madharau (bado) Nusu kaput Umenipiga nusu kaput Nusu kaput Umenipiga nusu kaput Baby you know (bado) The way that I know (bado) The thing that you do (bado) The way I love you (bado) Ooh baby you know (bado) Mi kufanya nikusahau (bado) Mpaka mi nikushushe dau (bado) Mi sipendagi madharau (bado) The mix killer S2Kizzy, baby

更多 Vanessa Mdee

Vanessa Mdee →

相关歌词